Katika njia zetu sote za kimaisha
Si uliwahi kuwaona wale watu wenye furaha na raha zao siku hadi siku... yaani mithili ya milele wa mbinguni sio?
Si uliona hali yao kubadilika ghafla wakati mwingine? Yaani siku moja unasikia ghafla mtu huyo kajinyonga au kaua hata watoto au mwenzake katika ndoa?
Si unabaki umeshikwa na butwaa imekuwakuwaje hadi mtu kufanya hivyo?
Kusema ukweli majibu yote ya hapo ni pekee yao madaktari na Mola tu wanayeyaweza (tena na himiza ila usije kesho ukaninukuu vibaya kwamba eti nilidai ninayeyatabiri humu kwenye blogu mimi ndio ukweli wa tiiba ya kikombe cha babu wa Loliondo).
Hata hivyo, nimeona vema nikupe silaha ninazotumia mimi binafsi ili nisiangamie katika mitihani migumu au mikwaruzo-kwaruzo ya kila siku na mifadhaiko yake maishani mwangu.
Silaha yangu inaitwa (BIORHYTHMS) UTABIRINYANYA kwa kuwa mimi ninayekutabiri hapa jina langu Manyanya, sio?
Kadri unavyosoma utabiri wa siku hadi siku, Blogu "MTABIRI MANYANYA PHIRI" yatukutakia maisha mema na mazuri kwa Baraka Zake Mungu Wetu. Amina!
FIKIRI KWANZA WEWE AU MHUSIKA NI MWEZI GANI ALIMOZALIWA.
KWISHA CHUNGUZA CHINI YA KIPENGELE CHA MWAKA . KAMA NI KAMA TULIVYOONYESHA HAPA CHINI KWA TAREHE YA LEO, BASI HAKIKA YUKO KATIKA WAKATI MGUMU KI UTABIRINYANYA (BIORHYTHMS)
JANUARI ni mwezi wako wa kuzaliwa? BASI UTAKUWA HATARINI YA MIFADHAIKO na matata mengine tele kama ni JANUARI ya miaka:
1935 1945 1951 1961 1967 1983 1987 1999 2003
MACHI Kwake ni kama ifuatavyo: 1940 1944 1960 1966 1976 1982 1992 1998
APRILI Ni miaka hii:: 1946 1962 1968 1978 1984 1994 2000
MEI Ni miaka hii: 1932 1939 1955 1971 1975 1991 1997 2007
JUNI Miaka yenye “hatari”: 1939 1941 1945 1957 1961 1973 1977 1993 1999 2009
JULAI Miaka yenye “hatari”: 1947 1948 1963 1979 1986 1995 2002
AGOSTI Miaka yenye “hatari”: 1934 1938 1950 1954 1956 1970 1972 1976 1988 1992 2004 2008
SEPTEMBA Miaka yenye “hatari”: 1936 1940 1952 1956 1978 1994 2010
OKTOBA Miaka yenye “hatari”: 1933 1942 1949 1965() 1981 2001 2003 2007
NOVEMBA Miaka yenye “hatari”: 1935 1951 1955 1967 1971 1983 1987 1989 2003 2005 2009
DESEMBA kama ni mwezi wako wa kuzaliwa hofu lazima uzidi kama ni Desemba ya mwaka 1957 1964 1973 1980 1989 au 1996. Lakini tuwasiliane ili uelewe barabara hali hii inaweza kuisha lini.
HADI WAKATI UJAO!!!!!
No comments:
Post a Comment